![]() |
Flank Lampard Akifanyiwa madham,bi wakati akijaribu kuwahadaa mabeki wa West Brom |
Timu ya Chelsea fc ya Jijini London Jana ilianza Ubabe wake kwa kuibugiza timu ya West brom Albion Mabao Mawili kwa moja,
Chelsea ikitokea nyuma ili sawazisha goli kupitia kwa Mkongwe Nicolas Anelkana lile la ushindi likishindiliwa kimiani na Flo maluda.
![]() | |||||||
Florent Malouda akikazia swaum kwa Bao Malidadi la ushindi |
No comments:
Post a Comment